Siku nilipopewa taarifa ya kuachishwa kazi, nilihisi dunia yangu imeporomoka. Nilikuwa nimetegemea kazi ile kwa miaka mingi. Ilikuwa ndiyo chanzo cha mapato yangu na njia yangu ya kuhudumia familia yangu.SOMA ZAIDI/ TAZAMA VIDEO.
Kwa hiyo nilipopoteza kazi ghafla, sikujua ningeanzia wapi. Mwanzoni nilikuwa na matumaini. Niliamini ningepata kazi nyingine haraka. Nilituma maombi sehemu nyingi, nikahudhuria mahojiano kadhaa, na nikajitahidi kutumia kila fursa iliyokuwa ikijitokeza.
Lakini miezi ilipita bila mafanikio. Mwezi mmoja ukageuka miezi sita. Baadaye mwaka mmoja ukapita. Kabla sijajua, nilikuwa nimekaa nyumbani kwa zaidi ya miaka miwili bila kazi ya kudumu.
Kwa kweli ilikuwa kipindi kigumu sana. Kilichoniumiza zaidi ni kuona majukumu ya kifamilia yakiendelea huku uwezo wangu wa kuyatimiza ukipungua. Wakati mwingine nilikosa hata hamasa ya kuendelea kutuma maombi kwa sababu nilikuwa nimezoea kukataliwa.
Nilianza kupoteza confidence yangu. Kulikuwa na siku nilijiuliza kama ningewahi kupata nafasi nyingine tena. Niliona kama ndoto yangu ya kurudi kazini ilikuwa ikizidi kuwa mbali kila siku.

Post A Comment: