Nilipoanzisha biashara yangu, nilikuwa na matumaini makubwa ya kufanikiwa. Nilichagua eneo zuri, nikahakikisha bidhaa zangu zina ubora, na nilihudumia kila mteja kwa heshima. Mwanzoni biashara ilikuwa inaenda vizuri, lakini baada ya muda idadi ya wateja ilianza kupungua.
Kila siku nilifungua duka nikiwa na matumaini.
Lakini mara nyingi nilimaliza siku bila kuuza chochote cha maana. Wakati mwingine nilikaa kwa saa nyingi nikisubiri mteja mmoja tu aingie dukani. Gharama za kodi, umeme na bidhaa ziliendelea kuongezeka huku mapato yakizidi kushuka.
Nilijaribu kila nilichoweza. Nilitangaza biashara yangu, nikapunguza bei za bidhaa na hata nikaanzisha ofa maalumu, lakini bado hali haikubadilika. Nilianza kufikiria kufunga biashara kwa sababu hasara zilikuwa zimekuwa nyingi. SOMA ZAIDI.
Post A Comment: