Siku niliyopokea ujumbe wake wa mwisho bado unauma hadi leo. Hakukuwa na maelezo marefu, hakukuwa na majibu ya maswali yangu.
Aliniambia tu ameona siwezi kumpa maisha aliyoyataka, na akanitakia kila la heri. Ndani ya muda mfupi sana, nilisikia amepata mtu mwingine.
Kabla hata sijakusanya vipande vya moyo wangu, ndoa yake ikatangazwa. Nilidharauwa vibaya. Marafiki walinicheka, wengine wakaniambia nisonge mbele.
Lakini hawakujua jinsi nilivyompenda kwa dhati. Tulikuwa tumepanga maisha, biashara, hata majina ya watoto.
Ghafla kila kitu kilikatika kama hakuwahi kuwepo. Nilijaribu kujifanya niko sawa, lakini ndani nilikuwa navunjika kila siku.
Kilichoniumiza zaidi siyo yeye kuondoka pekee, bali jinsi alivyonisahau haraka. Alifuta picha, alibadilisha namba, na kunizuia kila mahali. Nilijiuliza nilikosea wapi.
Nilianza kuhisi kama kuna kitu kilichonichukulia nafasi yangu ghafla, kana kwamba mapenzi yetu yalikatishwa kwa nguvu nisizoziweka.
Baada ya miezi kadhaa ya kulia kimya kimya, nilikutana na mtu aliyenisikiliza bila kunihukumu.
Alinambia kuwa wakati mwingine mahusiano huvunjwa si kwa sababu ya makosa yetu, bali kwa kuingiliwa na nguvu zinazopindua hisia ghafla.Soma Zaidi...https://kiwangadoctor.com/kiswahili/mpenzi-wangu-aliniacha-na-kuolewa-na-mwingine-miezi-mitatu-baadaye-alirudi-akilia-mlangoni-kwangu/
Post A Comment: