Kwa sasa nimekuja kubaini katika maisha unaweza kufanya kazi kwa bidii sana na kujituma lakini ikawa ni vigumu kwa wewe kufanikiwa kwa sababu unakuwa anapambana katika eneo ambalo sipo riziki yako ilipo.

Mimi naitwa Juma, tangu nikiwa kijana mdogo niliamua kujishughulisha na uvivu maana nilipenda sana safari za majini, kazi hiyo niliifanya kwa miaka mingi hadi kila mtu mtaani kwetu alikuwa akinitambu kama mvuvi mashahuri sana.

Changamoto yangu ilinza pale ambapo nilikuwa nafanya kazi sana na kutambulika na kila mtu na kusifiwa sana lakini hakuna maendeleo yoyote niliyoyapata kwenye maisha yangu kutokana na kazi yangu.

Nilianza kupata msongo wa mawazo, kwani nilitaka kuoa maana tayari nilikuwa na mchumba lakini nilishindwa endapo nitaoa ni jinsi gani nitamtunza mke wangu wakati sina maendelo yoyote yale. Soma zaidi hapa 


Share To:
Next
This is the most recent post.
Previous
Older Post

contentproducer

Post A Comment: