Kwa miaka saba, nilijaribu kila njia kupata mtoto lakini sikufanikiwa. Nilikuwa kwenye ndoa nzuri mwanzoni, lakini kadri muda ulivyopita bila mimba, kila kitu kilianza kubadilika. Mume wangu, ambaye awali alikuwa mpole na mwenye upendo, alianza kuwa mtu tofauti kabisa. Alianza kuchelewa kurudi nyumbani, na mara nyingine hakuwa akizungumza nami hata siku nzima.
Nilikimbilia hospitali mara kadhaa. Vipimo vyote vilionyesha niko sawa. Nilifanyiwa hata upasuaji mdogo ili kusafisha mirija ya uzazi.
Madaktari waliniambia “subiri tu, wakati wako utakuja,” lakini miaka ikaenda bila dalili yoyote ya ujauzito. Marafiki na hata baadhi ya ndugu walianza kunitenga, huku wakinong’ona kuwa labda nilikuwa nimetumia ujana wangu vibaya au kulaaniwa.
Ndoa yangu ilianza kuyumba. Mume wangu alianza kuonekana kama mtu aliyekata tamaa. Kila mara nilipojaribu kumletea mada ya kwenda tena hospitali pamoja, alijibu kwa ukali, “Siwezi endelea kuwa kwenye ndoa bila mtoto.” Siku moja aliniambia waziwazi kwamba angependa kuoa mwanamke mwingine ili amzalie. Nilihisi moyo wangu ukipasuka vipande vipande. Soma zaidi hapa
Post A Comment: