Wakati wengine walikuwa wanazungumzia ndoto zao za kuishi kwenye majumba ya kifahari, mimi nilikuwa nalala kwenye godoro lililotoboka ndani ya banda la mabati. Sauti ya mbu na mvua ilikuwa ya kawaida usiku, na mara kadhaa nililazimika kufunika godoro kwa nailoni ili kuliepusha na matope. 

Hicho ndicho kilikuwa ‘chumba changu’ na sikuwahi hata kufikiria kuwa ningeweza kuamka ndani ya nyumba yangu mwenyewe ya ghorofa.

Jina langu ni Jackson, nina umri wa miaka 31, mzaliwa wa Kigoma lakini nimeishi Temeke kwa miaka zaidi ya kumi. Nilipohamia Dar, lengo langu lilikuwa moja kutafuta maisha bora.

Lakini miaka ikasonga, kazi zikawa za mikataba ya siku mbili tatu, mshahara wa vibarua hauwezi hata kulipa kodi ya banda. Nilijikuta nikishindwa hata kula milo miwili kwa siku. Soma zaidi hapa 

Share To:

contentproducer

Post A Comment: