Katika kutafuta mke wa kumuoa kuna wakati nilifikia kipindi na kusema huwenda nina mikosi katika maisha yangu, hiyo ni kutokana kila mwanamke ambaye nilikuwa namtongoza alikuwa akinikatalia ombo langu.
Sikujua sababu ni nini hasa maana kama ni mvuto wa sura ninao, nina kazi ya kunipa kipato kizuri tu cha kijikimu na kuendeleza maisha yangu na hata kumuhudumia mwanamke ambaye nitakuwa naye katika mahusino.
Jina langu ni Ally kutoka Tanga, nina miaka 30 sasa nikiwa ni Baba wa watoto wawili na mke mmoja ambaye na mpenda sana na yeye ameonyesha kunipenda tangu siku ya kwanza tunaanza mahusiano yetu. Soma zaidi hapa
Post A Comment: