Kwa muda mrefu nilijiona sifai, duni, na kama mwanaume nusu. Nilikuwa kijana wa miaka 29 kutoka Chamwino, Dodoma, mwenye kazi ya mhasibu katika shirika moja la fedha, maisha mazuri kwa mtazamo wa nje lakini ndani yangu nilibeba aibu isiyoelezeka.
Nilikuwa nikisumbuliwa na tatizo la kufika kileleni mapema, yaani kukosa udhibiti wa msisimko wa nguvu za kiume, hali iliyoharibu kabisa uhusiano wangu wa kimapenzi na kunifanya nijitenge kijamii.
Tulikuwa tumejuana na mpenzi wangu Angel kwa miaka miwili. Mwanzo wa uhusiano wetu ulikuwa wa furaha, upendo, na matumaini ya kujenga familia. Alikuwa msichana mwenye maadili, mcheshi, na alionekana kunikubali kama nilivyo.
Lakini hali ilianza kubadilika taratibu tulipoanza kushiriki tendo la ndoa. Kila mara, kabla hata hajanusa raha, nilikuwa tayari nimefika kileleni. Kwanza, alichukulia kwa utani na kuelewa. Lakini baada ya kurudia hali hiyo mara kadhaa, alinuna, akapunguza mawasiliano, na hatimaye alianza kuwa mbali nami kabisa. Soma zaidi hapa
Post A Comment: