Hakuna kitu kinauma kama mke wako ambaye unamtunza kwa kumgharamikia kila kitu ili aweze kuishi vizuri na kupendeza unasikia anatembea na mwanaume mwingine nje ya ndoa.

Jambo hilo limewahi kunikuta tena mbaya zaidi mke wangu alikuwa anatembea na mfanyakazi wangu wa ndani wa kiume (house boy) ingawa nilikuwa namuuliza kila mara na yeye akikanusha hilo.

Naitwa Sulemani, nimemuoa huyu mke wangu miaka mitatu iliyopita, tulifungua ndoa na kufanya harusi ya gharama kubwa zaidi ya Sh200 milioni kutokana familia yangu na yake ni watu wenye uwezo mkubwa kiuchumi.

Tulianza kuishi pamoja katika nyumba ambayo tayari nilikuwa nimeinunua, mwanzoni mwa ndoa yetu maisha yalikuwa ni mazuri yaliyotaliwa na upendo, ukarimu na ucheshi wa kila mmoja wetu. Soma zaidi hapa 


Share To:

contentproducer

Post A Comment: