Sidhani kama kuna mfanyakazi anaweza kutosheka na kuridhika na mshahara ule ule kwa miaka nenda rudi, na hii ni kutokana kila mshahara unapoongezeka, matumizi nayo yanaongezeka tena kwa kiasi kikubwa.

Hiyo hufanya mfanyakazi kutumia tena ombi la mshahara, hata hivyo ni Mabosi wachache au Ofisi chache ambazo muda wote zipo tayari kwa kuongeza mshahara mfanyakazi wake.

Ndivyo ilikuwa na kwangu,nilifanya kazi katika ofisi moja ya usafirisha mizigo kwa miaka mingi kwa malipo yale yale miaka mingi sana.

Kila ambapo ningetuma ombi la nyongeza mshahara, basi ningepewa jibu kuwa nisubiri kwanza au niwe mvumilivu kwani siku sio ngingi watafanya hivyo ila kweli ni kwamba hakuna utekelezaji wowote ambao ungeweza kufanyika.

Hali hiyo ilienda kwa miaka mingi ikafika hatua ya mimi kuchoka na kukata tamaa na kufikiria kuacha kazi lakini nikaona kazi hiyo bado nahiitaji licha ya kuwa ina malipo duni, na isitoshe endapo nikiacha mtu mwingine anatapewa nafasi yangu. Soma zaidi hapa 

Share To:

contentproducer

Post A Comment: