Wakati mwingine mapenzi yanaweza kuwa ya kushangaza sana. Nilipomuona kwa mara ya kwanza akiwa na suti ya kijivu, tai ya maroon na viatu vya rangi ya kahawia iliyong’aa, nilihisi moyo wangu ukiruka kama vile mtu aliyeguswa na umeme.

Hakuwa staa wa filamu, wala hakuwa tajiri mkubwa lakini alivyojitokeza, alivyonukia, na alivyonena ilitosha kunichanganya. Nilijua huyo ndiye mtu niliyetaka kuwa naye maishani, lakini haikuwa rahisi hata kidogo.

Nilijaribu kila njia kumpata. Nilimfuata Instagram, nikaanza kupenda kila picha yake. Nilijitahidi kuonekana maeneo yale yale aliyokuwa akitembelea.

Nilijifanya kuomba msaada wa kitaalamu kazini kwake ili angalau tupate muda wa maongezi. Lakini bado hakunipa nafasi. Aliweka mipaka wazi, akisema yuko bize, hana muda wa mapenzi, na kwa kweli alikuwa akinikwepa kama ukoma. Soma zaidi hapa 

Share To:

contentproducer

Post A Comment: