Nakumbuka tangu utotoni mwangu nilitaka kuwa mfanyabiashara anayeheshimika nchini Kenya, nilikua na ndoto hizo ila sikuwahi kujua wakati mmoja ndoto hii ingekuja kutumia kwa kuwa nilitoka familia isiyona fedha.

Nilipomaliza Chuo Kikuu niliaamua kujitosa katika biashara, hivyo niliweza kuzungumza na wazazi wangu na kuwaomba waweze kunipa usaidizi wa kifedha kwa kuwa nilizokuwa nazo kwenye akiba yangu hazikuwa zinatosha.

Wazazi wangu walikua na ugumu kidogo kuzitoa fedha hizo lakini walikuja wakazitoa baadaye hivyo nikaanza biashara za kuuza nguo katikati mwa jiji.

Nilikua na matumaini mengi ya biashara hiyo kuweza kufanikiwa, nilipofungua biashara hiyo kulikuwepo na biashara nyingine kama yangu, kwa upande wangu nilinunua bidhaa zenye dhamani ya Sh2,000,000 na kuingia katika soko la ushindani. Soma zaidi hapa 

Share To:

contentproducer

Post A Comment: