Hii ni simulizi yangu ya kweli, na kama mwanaume, ilikuwa ni aibu kuu kukiri kuwa nilikuwa nimeishiwa nguvu za kiume. Nilianza kwa kupuuza, nikidhani ni stress au uchovu wa kawaida.
Lakini miezi ilivyopita, hali haikubadilika badala yake, ilizidi kuwa mbaya. Nikiwa na miaka 34, mke wangu alianza kuonekana mwenye huzuni. Alikuwa mpole lakini mbali. Sikuhitaji kuuliza kujua kwamba alikata tamaa.
Tulijaribu kila kitu. Nilinunua virutubisho vya bei ghali, nilifuata mazoezi ya mtandaoni, nikabadilisha chakula changu. Nilijaribu hata kunywa vitu vya ajabu nilivyoshauriwa na marafiki asali ya tembo, mzizi wa mti fulani kutoka Kilimanjaro, hata supu ya pweza!
Lakini haikusaidia. Mke wangu, ambaye alinivumilia kwa upole na heshima, alianza kujifungia zaidi. Alikubali hali kimya kimya lakini macho yake yaliniambia kila kitu alikuwa karibu kuniondoka. Soma zaidi hapa
Post A Comment: