Jina langu ni Mamy, nilikuwa ni shida ya kunenepa na kila mara, watu wengi walinipa majina ya ovyo sana kutokana na mwili wangu kunenepa sana, wengine waliniita nguruwe, wengine gunia na majina mengine yaliyonidhalilisha sana.

Ama kwa hakika nilikuwa nimenenepa kupita kiasi, kutembea pia ilikuwa ni kazi ngumu kwangu kwani nilipotembea kwa muda mfupi nilijikuta nahema sana suala ambalo lilikuwa changamoto.

Hakuna mwanaume aliyekuwa akitaka hata kunisalimia kwani wengi walisema mwili wangu uliwanyima mvuto wa kunitamania, hali ile ilinifany kuwa myonge sana.

Licha ya umri wangu mdogo, nilikuwa na kilo zaidi 130, nilitamani kwa vyovyote vile kupunguza kilo ambazo nilikuwa nazo lakini sikufanikiwa, baadhi ya watu walinipa ushauri kwamba niwe kila siku nikifanya mazoezi ili kupunguza mwili ule lakini yote hayakufanya kazi. Soma zaidi hapa

Share To:

contentproducer

Post A Comment: