AFISA Ushirika Mkuu Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania TCDC Bw.Justin Mogendi,akiwasilisha mada wakati wa mafunzo kwa wanachama wa Vyama vya Ushirika vya Mazao ya Bustani ikiwa ni utekelezaji wa Mradi Kwa awamu ya pili mwaka 2024/2025 yaliyofanyika leo Juni 4,2025 katika Kijiji Cha Simhha Halmshauri ya Wilaya ya Mbulu mkoani Manyara.
Na.Alex Sonna-HYDOM
TUME ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC) imewakutanisha wanachama wa Vyama vya Ushirika vya Mazao ya Bustani Wilayani Mbulu Mkoani Manyara huku ikiwataka kuendesha ushirika kibiashara pamoja na kuanzia sokoni kabla ya kwenda kulima.
Hayo yameelezwa leo Juni 4, 2025 Wilayani Mbulu mkoani Manyara na Afisa Ushirika Mkuu Tume ya Maendeleo ya Ushirika, Justin Mogendi, wakati wa mafunzo kwa wanachama wa Vyama vya Ushirika vya Mazao ya Bustani ikiwa ni utekelezaji wa Mradi kwa awamu ya pili mwaka 2024/2025 Wilayani Mbulu mkoani Manyara.
Mogendi amesema TCDC imeandaa mafunzo hayo kwa ajili ya kutoa elimu kwa wakulima katika kilimo chenye tija pamoja na kutafuta masoko kabla ya kwenda kulima, lengo likiwa ni kuhakikisha mkulima kile anacholima kinamuongezea kipato na tija katika familia.
“Tume ya Ushirika imeweka mafunzo haya kwa ajili ya kutafuta masoko kwahiyo tungependa kaunzia sokoni kabla ya kuanza kulima,kwa sababu mazao yanaharibika inabidi waanzie sokoni ili waweze kuendesha ushirika kibiashara
“Pia chama kiwasaidie kuwakusanya watu wote wakae pamoja na kuendesha ushirikia kwani kwa kufanya hivyo wanataboresha na watapata bei kubwa hata Halamshauri itapata ushuru wa kutosha.Pia elimu itawasaidia hata kwa mazao mengine kwani wakijua afya ya udongo itawasaidia.
“Kikubwa tunataka kuinua maisha yao kiuchumi kwa kuzalisha kwa tija ili kiwasaidie kwenye Maisha yao na kuongeza kipato cha kaya kiweze kuongezeka,”amesema
Kwa upande wake, Afisa Ushirika Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu, Dominick Nzimba amesema mafunzo hayo yataongeza tija kwa wanachama hao.
“Ni fursa kwa wanachama wote kupata mafunzo kuhusu ushirika na uzalishaji na masoko kiufupi kwenye cheni ya mazao ya mbogamboga kutoka shambani hadi sokoni kuna changamoto kubwa hivyo wanaushirika wanatakiwa kujua wanatakiwa kufanya nini ikiwa ni pamoja na kutafuta masoko,” amesema Nzimba.
Nzimba amesema mafunzo hayo yatawasaidia wanachama kujua majukumu yao na hiyo italeta tija katika uzalishaji wao pamoja na utafutaji wa pembejeo.
Naye, Diwani wa Kata ya Haydarer, Anna Sulle, amesema fursa hiyo ni muhimu na amekuwa akiendelea kutoa elimu katika kata yake kuhusu kulima vizuri na kutumia mbolea
“Tukiweza kufanya hiyo tutaongeza uchumi wetu, tunashukuru sana kwa wataalamu juu ya kilimo cha umwagiliaji na namna ya kutumia viwatilifu kwani italeta tija na wataelewa vizuri viti vingi kwa ufanisi zaidi,”amesema Mhe.Sulle
AFISA Ushirika Mkuu Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania TCDC Bw.Justin Mogendi,akiwasilisha mada wakati wa mafunzo kwa wanachama wa Vyama vya Ushirika vya Mazao ya Bustani ikiwa ni utekelezaji wa Mradi Kwa awamu ya pili mwaka 2024/2025 yaliyofanyika leo Juni 4,2025 katika Kijiji Cha Simhha Halmshauri ya Wilaya ya Mbulu mkoani Manyara.
AFISA Ushirika Mkuu Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania TCDC Bw.Justin Mogendi,akiwasilisha mada wakati wa mafunzo kwa wanachama wa Vyama vya Ushirika vya Mazao ya Bustani ikiwa ni utekelezaji wa Mradi Kwa awamu ya pili mwaka 2024/2025 yaliyofanyika leo Juni 4,2025 katika Kijiji Cha Simhha Halmshauri ya Wilaya ya Mbulu mkoani Manyara.
AFISA Ushirika Mkuu Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania TCDC Bw.Justin Mogendi,akiwasilisha mada wakati wa mafunzo kwa wanachama wa Vyama vya Ushirika vya Mazao ya Bustani ikiwa ni utekelezaji wa Mradi Kwa awamu ya pili mwaka 2024/2025 yaliyofanyika leo Juni 4,2025 katika Kijiji Cha Simhha Halmshauri ya Wilaya ya Mbulu mkoani Manyara.
AFISA Ushirika Mwandamizi kutoka Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC) Bi.Happyness Olotu,akiwasilisha mada wakati wa mafunzo kwa wanachama wa Vyama vya Ushirika vya Mazao ya Bustani ikiwa ni utekelezaji wa Mradi Kwa awamu ya pili mwaka 2024/2025 yaliyofanyika leo Juni 4,2025 katika Kijiji Cha Simhha Halmshauri ya Wilaya ya Mbulu mkoani Manyara.

SEHEMU ya washiriki wakifatilia mada mbalimbali wakati wa mafunzo kwa wanachama wa Vyama vya Ushirika vya Mazao ya Bustani ikiwa ni utekelezaji wa Mradi Kwa awamu ya pili mwaka 2024/2025 yaliyofanyika leo Juni 4,2025 katika Kijiji Cha Simhha Halmshauri ya Wilaya ya Mbulu mkoani Manyara.

Afisa Ushirika Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu, Dominick Nzimba,akielezea umuhimu wa mafunzo hayo kwa wanachama wa Ushirika wakati wa mafunzo kwa wanachama wa Vyama vya Ushirika vya Mazao ya Bustani ikiwa ni utekelezaji wa Mradi Kwa awamu ya pili mwaka 2024/2025 yaliyofanyika leo Juni 4,2025 katika Kijiji Cha Simhha Halmshauri ya Wilaya ya Mbulu mkoani Manyara.
AFISA Ugani Halmashauri ya Mbulu Bw.Obed Sabore,akiwasilisha mada wakati wa mafunzo kwa wanachama wa Vyama vya Ushirika vya Mazao ya Bustani ikiwa ni utekelezaji wa Mradi Kwa awamu ya pili mwaka 2024/2025 yaliyofanyika leo Juni 4,2025 katika Kijiji Cha Simhha Halmshauri ya Wilaya ya Mbulu mkoani Manyara.
MHADHIRI MoCU CPA Msongore Alex,akiwasilisha mada wakati wa mafunzo kwa wanachama wa Vyama vya Ushirika vya Mazao ya Bustani ikiwa ni utekelezaji wa Mradi Kwa awamu ya pili mwaka 2024/2025 yaliyofanyika leo Juni 4,2025 katika Kijiji Cha Simhha Halmshauri ya Wilaya ya Mbulu mkoani Manyara.
WAKUFUNZI pamoja na washiriki wa mafunzo wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya mafunzo kwa wanachama wa Vyama vya Ushirika vya Mazao ya Bustani ikiwa ni utekelezaji wa Mradi Kwa awamu ya pili mwaka 2024/2025 yaliyofanyika leo Juni 4,2025 katika Kijiji Cha Simhha Halmshauri ya Wilaya ya Mbulu mkoani Manyara.
Share To:

Post A Comment: