TANZIA : KATIBU WA CCM KILOLO AUWAWA NA WASIOJULIKANA KWA KUPIGWA RISASI MSUMBA on نوفمبر 13, 2024 BREAKING NEWS, TANZIA:, Chama cha Mapinduzi, kimepokea kwa mstuko mkubwa taarifa za kifo cha Katibu wa CCM Wilaya ya Kilolo Mkoa wa Iringa, Bi Christina Kibiki aliyeuawa kwa kupigwa risasi na watu wasiyojulikana. Share To: Nextرسالة أحدث Previousرسالة أقدم MSUMBA View Profile
Post A Comment: