Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda akikagua utoaji wa huduma za Maji kwenye Mradi wa Maji Patandi Wilayani Arumeru Mkoani Arusha leo Alhamisi Oktoba 24, 2024. Katika eneo hilo Serikali ya awamu ya sita imetekeleza mradi mkubwa wa ujenzi wa Tanki lenye ujazo wa lita laki tano ukitekelezwa kwa fedha za mfuko wa maji NWF ikiwa ni sehemu ya kampeni ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ya kumtua Mama ndoo kichwani.






Share To:

Post A Comment: