Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Doto Mashaka Biteko mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Mpanda mkoani Katavi tarehe 12 Julai, 2024. Mhe. Rais Dkt. Samia ameanza Ziara ya Kikazi Mkoani humo ambapo atakagua na kufungua miradi mbalimbali ya Maendeleo pamoja na kuzungumza na Wananchi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Mpanda mkoani Katavi tarehe 12 Julai, 2024. Mhe. Rais Dkt. Samia ameanza Ziara ya Kikazi Mkoani humo ambapo atakagua na kufungua miradi mbalimbali ya maendeleo pamoja na kuzungumza na Wananchi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika uwanja wa Ndege wa Mpanda mkoani Katavi tarehe 12 Julai, 2024. Mhe. Rais Dkt. Samia ameanza Ziara ya Kikazi Mkoani humo ambapo atakagua na kufungua miradi mbalimbali ya maendeleo pamoja na kuzungumza na Wananchi.
Shamrashamra za mapokezi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Mpanda Mkoani Katavi tarehe 12 Julai, 2024.
Post A Comment: