Naibu Waziri wa Habari Mawasiliano na Teknolojia ya Habari ambaye pia ni Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Mbeya Mheshimiwa Mhandisi Maryprisca Mahundi amezindua madaftari 219 kwa ajili ya usajili wa wanachama wa UWT sanjari na kukabidhi simu mbili kuongeza kasi ya usajili wa wanachama kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu wa 2025.

Share To:

Post A Comment: