Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa chama cha Mapinduzi UVCCM Mkoa wa Njombe Komredi Samwel Mgaya ameongoza Mamia ya Maafisa Usafirishaji almaarufu Bodaboda kumpokea Makamu wa Rais Dkt. Philip Isdor Mpango kwa ajili ya kufunga Maonesho ya Nne ya SIDO kitaifa Mkoani Njombe.

Komredi Samwel Mgaya Mwenyekiti Umoja wa Vijana  amekuwa chachu kwa Maafisa Usafirishaji kwa kuwajengea Vibanda vya kujikinga na Jua na Mvua kwa Vituo vyote vya Mjini Njombe .


Share To:

Post A Comment: