Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria, Mhe. Florent Kyombo, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Jenista Mhagama na Naibu Waziri wake Ridhiwani Kikwete wakimkabidhi fedha mlengwa wa TASAF Wilayani Uyui Bi. Amina Abdallah zilizochangwa na Wajumbe wa Kamati hiyo kumuwezesha mlengwa huyo kukamilisha ujenzi wa nyumba aliyoanza kuijenga kutokana na ruzuku ya TASAF anayoipata.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama akiwashukuru wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Utawala, Katiba na Sheria kwa upendo waliouonyesha kwa mlengwa wa TASAF, katika Kata ya Migiri Wilayani Uyui Bi. Amina Abdallah kwa mchango wa kumuwezesha mlengwa huyo kukamilisha ujenzi wa nyumba aliyoanza kuijenga kutokana na ruzuku ya TASAF anayoipata.

Mlengwa wa TASAF wa Kata ya Magiri wilayani Uyui, mkoani Tabora Bi. Amina Abdallah akitoa neno la shukurani kwa Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Utawala, Katiba na Sheria, vingozi na watendaji wa Serikali baada ya kumpatia fedha kiasi cha shilingi 530,000 kumuwezesha kukamilisha ujenzi wa nyumba aliyoianza kuijenga kutokana na ruzuku ya TASAF anayoipata.

Mlengwa wa TASAF, wa Kata ya Magiri wilayani Uyui, mkoani Tabora, Bi. Amina Abdallah akipokea michango ya fedha kutoka kwa Mhe. Jenista Mhagama na Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Utawala, Katiba na Sheria, vingozi na watendaji wa Serikali waliyomchangia kumuwezesha kukamilisha ujenzi wa nyumba aliyoianza kuijenga kutokana na ruzuku ya TASAF anayoipata.

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete akitoa mchango kwa Mlengwa wa TASAF wa Kata ya Magiri wilayani Uyui, mkoani Tabora, Bi. Amina Abdallah ikiwa ni sehemu ya kuwaunga mkono Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Utawala, Katiba na Sheria, vingozi na watendaji wa Serikali waliomchangia mlengwa huyo ili kumuwezesha kukamilisha ujenzi wa nyumba aliyoianza kuijenga kutokana na ruzuku ya TASAF anayoipata.

Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria, Mhe. Florent Kyombo, Viongozi na Watendaji wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora pamoja na viongozi wa CCM Wilaya ya Uyui wakiwa katika picha ya pamoja na  mlengwa wa TASAF Wilayani Uyui Bi. Amina Abdallah mbele ya nyumba iliyojengwa na mlengwa huyo kutokana na ruzuku ya TASAF anayoipata.

Share To:

Post A Comment: