Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimsikiliza Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Ridhiwani Kikwete, Bungeni 

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Jimbo la Sumve, Kasalali Mageni , Bungeni jijini Dodoma.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Uratibu na Bunge, George Simbachawene akizungumza na Waziri wa Viwanda na Biashara Ashatu Kijaji , Bungeni jijini Dodoma. Februari 1 2023.

Post A Comment: