Mwenyekiti wa Umoja Wanawake Tanzania kupitià cha Cha Mapinduzi CCM Mary Chatanda ameshiriki Ibada ya Misa katika  Kanisa la KKKT Bether lililopo Chadulu Mkoani Dodoma.


MCC Chatanda mara ya Ibada amefikisha salaam za Rais  wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Taifa  Dkt. Samia Suluhu Hassan na kuwaomba Waumini wote kuendelea kuilinda Amani na kuimarisha mashirikiano pamoja na kumuombea Rais Samia na Serikali yake. 


Aidha, MCC Mary Chatanda amekabidhi Shilingi 1,000,000 na Mifuko 100 saruji ikiwa ni mchango katika Harambee ya Jengo la Watoto na Ofisi kwa ujumla. 
Share To:

Post A Comment: