Mkuu wa wilaya ya Ikungi Mhe. Jerry C. Muro leo tarehe 06/09/2022 ameongoza zoezi la usahili wa vijana 237 waliomba nafasi ya kujiunga na JKT kwa utaratibu wa kujitolea ambapo kati ya hao vijana 63 wamechaguliwa na vijana 24 wako katika nafasi ya kusubiria (reserve list)


Akizungumza na vijana hao wakati wa zoezi Dc Muro amesema vijana waliojitokeza wamekuwa wengi uku nafasi zikiwa chache ambazo wamekubalina kutoa nafasi kwa vijana wote wenye sifa na haswa waliofanya mafunzo ya jeshi la akibwa wakiwa wamepewa kipaumbele na kuwataka vijana wangeine waliokosa safari hii kujaribu safari ijayo


 


Share To:

Post A Comment: