Ibada ya kuuombea Mwili wa Marehemu Kephrine Kabula Masaga mama yake mzazi Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina  Kijiji cha Isangijo Wilaya ya Meatu, Simiyu.
Watoto wa Marehemu Kephrine Kabula Masaga wakiweka shada la maua katika Kaburi la Mama yao
Wadogo wa marehemu wakiweka shada la maua
Wajukuu wa Marehemu Kephrine Kabula Masaga wakiweka shada la maua
Mbunge wa Jimbo la Maswa Mashariki, Mhe. Stanslaus Nyongo na Mbunge wa Meatu, Mhe. Leah Komanya wakiweka shada la maua kwa niaba ya viongozi
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu, Shemsa Mohamed akiweka shada la maua kwenye kaburi la mama yake Mbunge wa Kisesa Luhaga Mpina.


 

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Antony Mtaka akiweka shada la maua

Wawakilishi wa Benki ya NMB Vivina Nkhaa na Waziri Mchalala wakiweka shada la maua

viongozi wa dini wakiweka shada la maua kwenye kaburi la mama yake Mbunge Luhaga Mpina, Marehemu Kephrine Kabula Masaga

Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu, Shemsa Mohamed akiweka shada la maua kwenye kaburi la mama yake Mbunge wa Kisesa Luhaga Mpina. 

 

 

 

Share To:

TANGA RAHA BLOG

Post A Comment: