Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea zawadi kwa naiba ya  Rais Samia Suluhu Hassan kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Anthony Mtaka Kwenye uzinduzi wa filamu ya The Tanzania Royal Tour uliofanyika katika  ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma Mei 15, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na viongozi walioshiriki katika uzinduzi wa filamu ya The Tanzania Royal Tour katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma,Mei 15, 2022. Kutoka kushoto ni Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson, Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Pindi Chana, Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni Sanaa na Michezo, Dkt. Hassan  Abbas, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Anthony Mtaka, Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda na Spika wa Bunge Mstaafu, Anne Makinda. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 


Share To:

Post A Comment: