Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Wa Benki Ya Equity (T) Isabella Maganga ( katikati), Meneja Mwandamizi Kitengo cha Malipo, Victor Wairimu na Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano, Grace Magige wakizidua Kampeni ya ‘Ishi Kisasa Pesa Mzigo’. Kampeni hiyo inahamasisha utumiaji wa huduma za Kibenki kidijitali kama njia mbadala wa kupata huduma za kibenki pamoja Shughuli zote zinaweza kutatuliwa kwa wakati na kwa usalama kwa kukamilisha miamala yao na malipo kwa kutumia simu zao kiganjani, kadi zao za benki na Internet Banking popote pale walipo.

Baadhi ya Wafanyakazi wa Benki ya Equity wakipiga picha ya pamoja baada ya uzinduzi huo.

Share To:

Adery Masta

Post A Comment: