Watu 5 wamefariki dunia na wengine wanne wakijeruhiwa baada ya lori la mizigo kufeli breki mteremko wa Mbalizi mkoani Mbeya Kwa kuyagonga magari madogo matatu na Bajaji pamoja na watembea Kwa miguu eneo hilo 
Share To:

Post A Comment: