Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Prof. Joyce Ndalichako (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Shirikisho la Vyama vya Watu wenye Ulemavu (SHIVYAWATA) kutoka Mkoa wa Singida walipomtembelea katika Ofisi yake iliyopo Mji wa Serikali, Mtumba Jijini Dodoma Februari 8, 2022. Kushoto ni Mwenyekiti wa SHIVYAWATA Mkoa wa Singida Bw. Khamis Ayoub na kulia ni Katibu wa SHIVYAWATA Mkoa wa Singida Bw. Ramadhani Mrisho.


Share To:

Post A Comment: