RAIS
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikata
utepe kufungua rasmi barabara ya Sanyajuu- Elerai KM 32.2 ambayo ujenzi
wake kwa kiwango cha lami umekamilika, barabara hiyo ni sehemu ya
barabara ya Bomang’ombe-Sanyajuu- Elerai-Kamwanga yenye urefu wa KM
98.2.
Muonekano wa barabara ya Sanyajuu- Elerai KM 32.2 ambayo ujenzi wake kwa kiwango cha lami umekamilika na kufunguliwa rasmi.
Waziri
wa Ujenzi na Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa (kushoto), akisalimiana na
Katibu Mkuu (Sekta ya Ujenzi), Eng. Joseph Malongo wakati wa ufunguzi wa
barabara ya Sanyajuu- Elerai KM 32.2 Mkoani Kilimanjaro.
Post A Comment: