Mwenyekiti wa Wabunge vinara wa masuala ya usalama wa Chakula na Lishe, Mhe. Neema Rugangira akiongoza semina kuhusu Sumukuvu na usalama wa Chakula iliyofanyika leo katika ofisi ya Bunge Jijini Dodoma, Septemba 7, 2021, Kulia ni katibu kamati wa kamati ya uwekezaji wa Mitaji ya umma, Bi. Elieka Saanya


Afisa Kilimo kutoka Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Bw. Musa Chibinde akiwasilisha maada kuhusu usalama wa Chakula nchini Tanzania mbele ya Wabunge vinara wa masuala ya usalama wa Chakula na Lishe wakati wa semina kuhusu Sumukuvu na usalama wa Chakula iliyofanyika leo katika ofisi ya Bunge Jijini Dodoma, Septemba 7, 2021


Mbunge kinara masuala ya usalama wa Chakula na Lishe, Mhe. Saashisha Mafuwe akizungumza wakati wa semina kuhusu Sumukuvu na usalama wa Chakula iliyofanyika leo katika ofisi ya Bunge Jijini Dodoma, Septemba 7, 2021


Wabunge vinara masuala ya usalama wa Chakula na Lishe wakiwa katika semina kuhusu Sumukuvu na usalama wa Chakula iliyofanyika leo katika ofisi ya Bunge Jijini Dodoma, Septemba 7, 2021,


Wabunge vinara masuala ya usalama wa Chakula na Lishe wakiwa katika picha ya pamoja na watendaji kutoka Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi tukio lililofanyika leo nje ya Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma, Septemba 7, 2021

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
Share To:

emmanuel mbatilo

Post A Comment: