Wafanyakazi wa Tume ya Nguvu za Atomiki(TAEC) katika picha ya pamoja baada ya kushiriki maandamano na wafanyakazi wa Taasisi nyingine za Jiji la Arusha  kwenye maadhimisho  ya siku ya  wafanyakazi  duniani maarufu kama Mei Mosi  kwa  mwaka 2021,ambapo maandamano hayo   yalianzia katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha na kuhitimishwa katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid na kupokelewa na  Mkuu wa Mkoa  Mhe.Iddi Kimanta.Maadhimisho ya kitaifa yanafanyika jijini Mwanza na kauli mbiu ni Maslahi bora , mishahara Juu na Kazi iendelee

Share To:

Post A Comment: