RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Kiongozi wa Timu ya Madaktari Bingwa kutoka China Dr.Wang Yi Ming, (kulia kwa Rais) akiwa na Madaktari hao walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 25/5/2021.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Timu ya Madaktari Bingwa kutoka Nchini China wanaotowa huduma za Matibabu katika Hospitali  ya Mnazi Mmoja, walipofika Ikulu kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Timu ya Madaktari Bingwa kutoka China ukiongozwa na Dr.Wang Yi Ming (kulia kwa Rais) alipowasili katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na Madaktari hao.(Picha na Ikulu)

Share To:

msumbanews

Post A Comment: