Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) wakiongozwa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhe. Naghenjwa Kaboyoka (aliyetangulia mbele) wakikagua jengo jipya  la Madarasa ya Chuo Kikuu cha Mzumbe, Morogoro wakati walipotembelea Chuoni hapo leo Machi 16, 2021.
Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) wakikagua jengo jipya  la Hosteli Chuo Kikuu cha Mzumbe, Morogoro wakati walipotembelea Chuoni hapo leo Machi 16, 2021.
Makamu Mweyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Mhe. Japhet Hasunga (kulia) akizungumza wakati Kamati hiyo ilipotembelea Chuo Kikuu cha Mzumbe, Morogoro kukagua ujenzi wa Hosteli na Madarasa leo Machi 16, 2021.

 

  Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Mhe. Naghenjwa Kaboyoka (katikati) akizungumza wakati Kamati hiyo ilipotembelea Chuo Kikuu cha Mzumbe, Morogoro kukagua ujenzi wa Hosteli na Madarasa leo Machi 16, 2021. Kushoto kwake ni Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu cha Mzumbe, Prof. Mathew Luhanga na kulia ni Makamu Mweyekiti wa Kamati hiyo, Mhe. Japhet Hasunga.
Share To:

Post A Comment: