Tunaomba radhi kwa tatizo la kuto kuonekana kwa picha kwa Baadhi ya watumiaji wetu wa MsumbaNews Blog

Tatizo hili linatokana na Mifumo ya Google kubadilika na kusababisha Baadhi ya mitandao ya simu kushindwa kutoa Data zinazo weza kuonyesha Picha katika Blog yetu

Kwa watumiaji wa Voda na Tigo hawakukubwa na tatizo hili ila kwa watumiaji wa Halotel na Airtel ndio walikubwa na tatizo hili.

Ila kwa sasa tumeweza kufanyikisha kutatua tatizo hilo kwa upande wa mitandao yote na Tatizo hili limekwisha


Kwa Maoni au maswali wasiliana nasisi kupitia namba hizi 0762561399
Share To:

Post A Comment: