Aliyekuwa Diwani wa kata ya Olorien Kupitia chama cha Mapinduz Ndugu Zakaria Mollel amechukua fomu ya kugombea tena Udiwani katika kata hiyo na kuahidi kuwatumikia wananchi mara baada ya kuchaguliwa kuiongoza kata hiyo kwa muhula mwingine.

Mara baada ya kuchukua fomu hiyo akizungumza na waandishi wa habari amesema
"Nitashinda mapema sana hapa maana sina mpinzani nakubalika sana kwenye hii kata, Nitafanya kampeni kistaraabu na kuwatumikia wananchi wote" 

Share To:

msumbanews

Post A Comment: