Kamanda wa Polisi mkoa wa Kipolisi Tarime/Rorya William Mkonda (kushoto) akitoa taarifa ya hali ya usalama ya mkoa huo mbele ya Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro (katikati), ambaye yupo mkoani Mara kwa ajili ya ziara ya kikazi yenye lengo la kuzungumza na Polisi Kata, ambapo hadi sasa tayari ameshazungumza na Polisi Kata wa mikoa ya Singida na Tabora. Picha na Jeshi la Polisi.

Share To:

Post A Comment: