Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Felix Tshisekedi akisoma moja ya kitabu cha Lughaya Kiswahili katika Mkutano wa Ndani wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika SADC Ikulu jijini Dar es Salaam. Kitabu hicho alikabidhiwa na Mwenyekiti wa SADC Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania MheshimiwaDkt. John Pombe Magufuli kabla ya mkutano huo. PICHA NA IKULU
|
Post A Comment: