![]() |
Mtafiti Mwandamizi wa Taasisi ya Utafiti wa Wanyamapori (Tawiri),Dk Edward Kohi akizungumza mienendo na tabia za Tembo huku Waziri wa Maliasili na Utalii,Dk Hamis Kigwangala akimsikiliza kwa makini. |
![]() |
Wataalamu wakimfatilia mmoja wa Tembo ambaye alifungwa kifaa maalumu |
![]() |
Wataalamu wa Wanyamapori wakimfatilia mmoja wa Tembo aliyefungwa kifaa hicho kinachowawezesha kufahamu mienendo yake katika ikolojia ya uhifadhi |
Post A Comment: