Zaidi ya watu bilioni 1.8 duniani kote kwa siku ya jana Mei 20, 2018 walikuwa bize kufuatilia harusi ya kifalme ya Prince Harry na mchumba wake Meghan Markle.

Prince Harry na Mkewe Meghan Markle
Ndoa hiyo iliyofungwa katika Kanisa la Mtakatifu George, lililopo katika viunga vya himaya ya Kifalme (Windsor Castle). Imehudhuriwa na maastaa kibao akiwemo David Beckham na mkewe, mchezaji wa tenisi Serena Williams na mumewe, Oprah Winfrey, muigizaji Pryanka Chopra na wengine kibao.

Serena Williams

Oprah

David Beckham na mkewe

Pryanka Chopra

Mchekeshaji Idris Elba naye alipata mualiko.

Mastaa walioalikwa wakitembea kwenye barabara inayofahamika kwa jina la Long Walk kuelekea makazi ya kifalme Windsor Castle.

Kanisa la St. George kwa nje

Kanisa la St. George kwa ndani

Polisi wakiimarisha ulinzi katika barabara za kuigia eneo la tukio ambapo zaidi ya watu 100,000 walialikwa kushuhudia tukio hilo la kihistoria
PICHA ZA WANANDOA PRINCE HARRY NA MKEWE MERGHAN:





Post A Comment: