Shirika la Umeme nchini, TANESCO limetangaza
 kutokana na kukosekana umeme katika maeneo mengi nchini ni kutokana na 
hitilafu iliyosababishwa na Radi kupiga  mifumo ya usambazaji wa umeme 
katika gridi ya taifa.
“Kutokana
 na tatizo la umeme limejitokeza TANESCO tumefanya juhudi kurejesha hali
 ile, tulianza kurejesha Tanga, Chalinze kupitia kituo cha New Pangan, 
Dodoma kupitia kituo cha Mtera na sehemu ya kituo cha kidatu” amesema  Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco, Dkt. Titus Mwinuka.
Post A Comment: