Tazama Video ya kwanza ya Weasel baada ya kifo cha Mose Radio msumbanews on March 20, 2018 VIDEO, Member wa kundi la Goodlyfe kutoka nchini Uganda, Weasel ameachia video ya kwanza tangu kutoka kifo cha msanii mwenzake, Mose Radio. Video hiyo ni ya wimbo uitwao Tokyayitaba, video imeongozwa na Darlington. Itazame hapa. Share To: NextNewer Post PreviousOlder Post msumbanews View Profile
Post A Comment: