Mwandishi wa habari wa siku nyingi, Nana Steven Mollel amefariki dunia leo jioni Jumatatu, Machi 2018 akiwa Hospitali mkoani Arusha baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Nana aliwahi kufanya kazi katika kituo cha Televisheni cha ITV na Radio One cha jijini Dar es Salaam akiwa mtangazaji wa vituo hivyo kabla ya kuondoka na kwenda Karatu kufanya shughuli zake zingine.

Taarifa zaidi za msiba huo tutakueleta baadaye
Share To:

msumbanews

Post A Comment: