Kikosi cha Yanga kimewasili salama jijini Gaborone, Botswana, na kufikia kwenye Hotel ya Crystal Palace iliyo na nyota 2.

Yanga wameondoka Tanzania alfajiri ya leo kuelekea Botswana kwa ajili ya mchezo wa marudiano, Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Township Rollers, utakaopigwa Jumamosi ya wiki hii.

Share To:

msumbanews

Post A Comment: