Mkuu wa Wilaya ya Monduli Bw.Idd hassan kimanta  ametembelea shule ya Msingi Manyara Ranch kukagua maendeleo ya Ujenzi wa Shule ya kisasa ambayo inafadhiliwa na Shirika la AFRICAN WILDLIFE FOUNDATION NA HALMASHAURI YA WILAYA YA MONDULI jumla yaDOLA 1.7 Milioni za Kimarekani kwa ajili ya Ujenzi wa Shule.

Ujenzi huo umegawanyika kwa awamu tatu, Awamu ya Kwanza wanajenga majengo 8 yenye kubeba wanafunzi 832 Mradi huu awamu kwanza wanatarajia kumaliza mwezi 7.2018

Share To:

msumbanews

Post A Comment: