Mwenyekiti wa Mtandao wa wanafunzi TSNP, Abdul Nondo amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya  Iringa kusomewa mashtaka yanayomkabili. Mwanasheria wa TSNP amethibitisha taarifa hiyo.
Share To:

msumbanews

Post A Comment: