Jana ilikuwa siku nzuri sana kwa msanii wa muziki hapa Tanzania, AY kwani aliweka historia katika maisha yake kwa kufunga ndoa na mpenzi wake wa zamani Remmy kutoka nchini Rwanda.
Kufuatia tukio hilo Wasanii na watu mashuhuri nchini Tanzania wamempongeza AY kwa kukamilisha tukio hilo tukufu.
PROFESSOR JAY:
- professorjaytzHongera sana Mdogo wangu @aytanzania na mkeo @remyrwanda kwa hatua hii muhimu ya Kufunga Pingu za Maisha, Mungu awasimamie na awabariki zaidi na zaidi muwe na maisha Mema yenye furaha na baraka tele
@fundifrank @moshiiri Wakujipekecha mmetisha sana
DIAMOND PLATNUMZ:
- diamondplatnumzSuper Congrats Legend…. Mwenyez Mungu Awajalie Ndoa Yenye Furaha, Amani na Baraka tele @aytanzania
MWANA FA:
- mwanafamy brother @aytanzania ,karibu kwenye hili timu la watu wazima wenzio..Mungu awabariki wewe na shemeji wa Taifa @remyrwanda kwenye muunganiko wenu huu..Godspeed my G.
Ila Rwanda hapana aisee,hapana / photo by @mxcarter
B-DOZEN:
- bdozenHongera Sana Toyoyo @aytanzaniaMwenyezi awaongoze kwenye hili we Na #Remy! Na nawaombea Ndoa idumu Milele!!!
Post A Comment: