Baraza la mitihani Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya kidato cha nne kwenye mtihani ambao ulifanyika October 2017 ambapo Shule iliyoshika namba moja inatoka Mbeya.

TOP 10 YA SHULE BORA.

10. Shamsiye Boys ya Dar es salaam

9. Marian Boys ya Pwani

8. Feza Girls ya Dar es salaam

7. Canossa ya Dar es salaam

6. Marian Girls Pwani

5. Anwarite Girls ya Kilimanjaro

4. Bethel Sabs Girls ya Iringa

3. Kemebos ya Kagera

2. Feza Boys ya Dar es salaam

1.St. Francis Girls ya Mbeya
Share To:

msumbanews

Post A Comment: