Waimbaji wa bendi ya Mounti Meru Rickernest wakiongozwa na Rais wa Bendi hiyo Fabrice Kulialia (Teminator wa masauti) tatu kulia  wakiwa wanashambulia jukwaa wekendi hii ndani ya ukumbi wa Triple A (picha na Woindeshizza blog )
 Mashabiki wa bendi ya Mountimeru Ricker nest wakiwa wanapata burudani
 Rappa wa bendi ya Mountimeru Ricker Nest Njegere akiwa anafanya yake jukwaani
 Mara moja moja kujitokeza kushuhudia bendi sio mbaya apa mmiliki walibeneke la kaskazini blog Woinde shizza katik kati nikiwa na mashabiki zangu tukiendelea kuburudika na bendi hii
 Yalikuwa ni mambo ya sebene tu ,ukifika jijini Arusha usiulize pa kwenda ni Triple a klabu tu kwa burudani za aina yote kuanzia vinjwaji ,disco la nguvu pamoja na live band kutoka bendi ya Mounti meru Ricker nest Music (picha na Woinde Shizza,Arusha )
 Katika bendi hiii pia kuna wadada wa kike nikimaanisha wanenguaji hapa wakifanya yao

Share To:

msumbanews

Post A Comment: