MOROGORO: 

Watu kadhaa wamejeruhiwa vibaya katika Ajali iliyotokea Mlima wa Udzungwa Wilayani Kilombero karibu na Ofisi za Hifadhi ya Udzungwa. Ajali imetokea Saa 5 asubuhi ya leo, imehusisha Magari mawili ambayo ni 'Bus' la MANING NICE lenye Namba za usajili T 787 AUS iliyokuwa ikitoka Ifakara kwenda Dar es Salaam na HOPE SAFARI lenye Namba za usajili T 865 DCU Linalofanya safari zake kutoka Morogoro Mjini kwenda Wilayani Malinyi.

Share To:

msumbanews

Post A Comment: